Ufafanuzi wa kamafleji katika Kiswahili

kamafleji

nominoPlural kamafleji

  • 1

    hali ya kuficha vifaa vya kijeshi na kuvifanya vifanane na mazingira vilivyomo.

    maficho

  • 2

    mbinu ya kujificha kwa kujifananisha na rangi au maumbo ya mazingira yakuzungukayo kama anavyofanya kinyonga.

Asili

Kng

Matamshi

kamafleji

/kamaflɛʄi/