Ufafanuzi msingi wa kamani katika Kiswahili

: kamani1kamani2

kamani1

nominoPlural kamani

  • 1

    springi kuu katika saa au mtambo mwingine inayofanya saa au mtambo huo uende; utumbo wa saa.

Matamshi

kamani

/kamani/

Ufafanuzi msingi wa kamani katika Kiswahili

: kamani1kamani2

kamani2

kielezi

  • 1

    kama nini; ajabu mno.

    ‘Tamu kamani’
    sana

Matamshi

kamani

/kamani/