Ufafanuzi msingi wa kamba katika Kiswahili

: kamba1kamba2

kamba1

nominoPlural kamba

 • 1

  uzi mnene au kebo iliyotengenezwa kwa kusokota nyuzi nyembamba pamoja.

  ugwe

Matamshi

kamba

/kamba/

Ufafanuzi msingi wa kamba katika Kiswahili

: kamba1kamba2

kamba2

nominoPlural kamba

 • 1

  mnyama wa baharini mwenye magamba na miguu mingi na huliwa.

  ‘Meno ya kamba’

 • 2

  samaki mdogo wa baharini mwenye miguu mingi na magamba laini.

Asili

Kar

Matamshi

kamba

/kamba/