Ufafanuzi wa kambaremamba katika Kiswahili

kambaremamba

nomino

  • 1

    samaki wa maji baridi anayefanana na kambare lakini mwembamba.

    kamongo

Matamshi

kambaremamba

/kambarɛmamba/