Ufafanuzi wa kambisi katika Kiswahili

kambisi, karambisi

nominoPlural kambisi

  • 1

    samaki wa jamii ya sansuri mwenye upembe mmoja lakini si mrefu kama ule wa sansuri wala si wa bapa kama wa papa upanga, mwenye rangi inayofanana na rangi ya maji anamokaa.

Matamshi

kambisi

/kambisi/