Ufafanuzi wa kambo katika Kiswahili

kambo

kivumishi

  • 1

    uhusiano usiokuwa wa damu katika familia.

    ‘Baba wa kambo’
    ‘Mtoto wa kambo’
    ‘Mama wa kambo’

Matamshi

kambo

/kambɔ/