Ufafanuzi wa kamera katika Kiswahili

kamera

nominoPlural kamera

  • 1

    chombo cha kupigia picha.

    ‘Kamera ya video’

Asili

Kng

Matamshi

kamera

/kamɛra/