Ufafanuzi wa kamili katika Kiswahili

kamili

kivumishi

  • 1

    -siyopungua wala kuwa na hitilafu, dosari au kasoro.

  • 2

    -enye kukamilika.

    -zima, tasilimu

Asili

Kar

Matamshi

kamili

/kamili/