Ufafanuzi wa kampeni katika Kiswahili

kampeni

nominoPlural kampeni

  • 1

    shughuli za kisiasa au kijamii zilizoandaliwa kuhamasisha watu kwa madhumuni fulani k.v. kutetea jambo fulani au kushawishi maoni ya watu.

    ‘Fanya kampeni ya Mtu ni Afya’

Asili

Kng

Matamshi

kampeni

/kampɛni/