Ufafanuzi wa kamsa katika Kiswahili

kamsa

nominoPlural kamsa

  • 1

    king’ora cha kuwataarifu askari kujitayarisha kwenda vitani ama kuonya watu kuwa kuna hatari ya moto au kuwa mfungwa ametoroka; onyo la hatari.

Matamshi

kamsa

/kamsa/