Ufafanuzi msingi wa kamwe! katika Kiswahili

: kamwe!1kamwe!2

kamwe!1

kiingizi

 • 1

  (hutumika kwa kutilia nguvu pamoja na kukanusha jambo) hata kidogo.

 • 2

  hata mara moja.

 • 3

  abadani!, asilani!, katu!, kabisa!, sini!.

  ‘Sitaki kamwe’
  hata!, bilikuli!

Matamshi

kamwe!

/kamwɛ/

Ufafanuzi msingi wa kamwe! katika Kiswahili

: kamwe!1kamwe!2

kamwe!2

kiingizi

 • 1

  (hutumika kutilia mkazo au mshangao)

  ‘Ala! Amekupiga na kofi kamwe’

Matamshi

kamwe!

/kamwɛ/