Ufafanuzi msingi wa kanda katika Kiswahili

: kanda1kanda2kanda3kanda4kanda5kanda6kanda7

kanda1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  songa kwa mkono.

  ‘Kanda unga’

 • 2

  sugua au binyabinya kwa mkono, agh. sehemu iliyovimba au kuteguka.

  ‘Kanda mwili’

Matamshi

kanda

/kanda/

Ufafanuzi msingi wa kanda katika Kiswahili

: kanda1kanda2kanda3kanda4kanda5kanda6kanda7

kanda2

nominoPlural makanda, Plural kanda

 • 1

  fuko kubwa lililosukwa kwa chane za miyaa au majani ya mvumo ambalo hutumiwa kuwekea chakula au vitu k.v. karafuu au tende.

  bambo, fumba

Asili

Kaj

Matamshi

kanda

/kanda/

Ufafanuzi msingi wa kanda katika Kiswahili

: kanda1kanda2kanda3kanda4kanda5kanda6kanda7

kanda3

nominoPlural makanda, Plural kanda

 • 1

  malipo yanayotolewa kwa mganga; kiingia porini.

Matamshi

kanda

/kanda/

Ufafanuzi msingi wa kanda katika Kiswahili

: kanda1kanda2kanda3kanda4kanda5kanda6kanda7

kanda4

nominoPlural makanda, Plural kanda

 • 1

  mtu asiyeweza kuaminika.

  laghai, mzushi, ayari

 • 2

  mtu mpotovu; mbaya.

 • 3

  hanithi

Matamshi

kanda

/kanda/

Ufafanuzi msingi wa kanda katika Kiswahili

: kanda1kanda2kanda3kanda4kanda5kanda6kanda7

kanda5

nominoPlural makanda, Plural kanda

 • 1

  eneo kubwa la kijiografia.

  ‘Uhusiano huo unazihusu nchi zilizo katika kanda ya Afrika Mashariki’

Matamshi

kanda

/kanda/

Ufafanuzi msingi wa kanda katika Kiswahili

: kanda1kanda2kanda3kanda4kanda5kanda6kanda7

kanda6

nominoPlural makanda, Plural kanda

 • 1

  makasia ya mikono wakati wa kuogelea.

Matamshi

kanda

/kanda/

Ufafanuzi msingi wa kanda katika Kiswahili

: kanda1kanda2kanda3kanda4kanda5kanda6kanda7

kanda7

nominoPlural makanda, Plural kanda

 • 1

  kitu chenye utepe unaonasa sauti au picha na huweza kusikika au kuonekana kwa kuupiga utepe huo k.v. kwenye redio kaseti au video.

Matamshi

kanda

/kanda/