Ufafanuzi wa kandambili katika Kiswahili

kandambili

nominoPlural kandambili

  • 1

    kiatu cha wazi chenye mikanda miwili inayokutana sehemu ya mbele.

    ‘Vaa kandambili unapotuma jiko la umeme’
    lapa

Matamshi

kandambili

/kandambili/