Ufafanuzi wa kandika katika Kiswahili

kandika

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    bandika udongo ili ushike katika kiambaza.

  • 2

    piga au chapa kwa kutumia mkono au bakora.

    ‘Kandika makofi’

Matamshi

kandika

/kandika/