Ufafanuzi wa kangaichi katika Kiswahili

kangaichi

kivumishi

  • 1

    -siokomaa au -sioiva.

  • 2

    bichi, hasa matunda ya mzambarau au mkoma.

Matamshi

kangaichi

/kangait∫i/