Ufafanuzi msingi wa kani katika Kiswahili

: kani1kani2kani3kani4

kani1

nominoPlural kani

 • 1

  kushikilia jambo fulani.

  ‘Shika kani’
  ‘Jambo lenye kani’
  ubishi

Matamshi

kani

/kani/

Ufafanuzi msingi wa kani katika Kiswahili

: kani1kani2kani3kani4

kani2

nominoPlural kani

 • 1

  shamrashamra za kusherehekea harusi au jambo la furaha.

  ‘Walipita kwa ming’aro kugea kani’

Asili

Kar

Matamshi

kani

/kani/

Ufafanuzi msingi wa kani katika Kiswahili

: kani1kani2kani3kani4

kani3

nominoPlural kani

 • 1

  mahali ambapo mizigo huwekwa ndani ya mashua.

  ‘Kani ya omo’
  ‘Kani ya tezi’

Matamshi

kani

/kani/

Ufafanuzi msingi wa kani katika Kiswahili

: kani1kani2kani3kani4

kani4

nominoPlural kani

 • 1

  nguvu inayotokana na msukumo wa kitu k.v. kwa kugonga au kusukuma.

  zihi, hamasa, nguvu

Matamshi

kani

/kani/