Ufafanuzi wa kanopi katika Kiswahili

kanopi

nominoPlural kanopi

  • 1

    kipaa cha kumimina kwa zege au cha matawi ya mti.

Asili

Kng

Matamshi

kanopi

/kanOpi/