Ufafanuzi wa kanu katika Kiswahili

kanu

nominoPlural kanu

  • 1

    mnyama kama pakamwitu mwenye mkia mweupe, hukamata na kula sana kuku.

Matamshi

kanu

/kanu/