Ufafanuzi wa kanya katika Kiswahili

kanya

kitenzi elekezi

  • 1

    kataza mtu kusema au kutenda kitu au jambo fulani.

    onya, asa, haza

Matamshi

kanya

/ka3a/