Ufafanuzi wa kanyagio katika Kiswahili

kanyagio

nominoPlural makanyagio

  • 1

    sehemu ya chini ya mguu wa mnyama k.v. ng’ombe, kondoo au swala.

  • 2

    pedali ya baiskeli.

Matamshi

kanyagio

/ka3agijO/