Ufafanuzi msingi wa kanzi katika Kiswahili

: kanzi1kanzi2kanzi3

kanzi1

nominoPlural kanzi

 • 1

  hazina kubwa, agh. iliyohifadhiwa ardhini.

Ufafanuzi msingi wa kanzi katika Kiswahili

: kanzi1kanzi2kanzi3

kanzi2

nominoPlural kanzi

 • 1

  mkusanyiko mkubwa wa data iliyohifadhiwa ndani ya kompyuta na kupangiliwa ili kurahisisha utafutaji wake.

  databenki

Ufafanuzi msingi wa kanzi katika Kiswahili

: kanzi1kanzi2kanzi3

kanzi3

nominoPlural kanzi

 • 1

  chakula kilichopikwa kwa kuchanganywa mchele, pojo, bizari, nyama, pilipili na samli.

Matamshi

kanzi

/kanzi/