Ufafanuzi wa kapera katika Kiswahili

kapera

nomino

  • 1

    mwanamume ambaye hajaoa; mwanamume asiye na mke.

Matamshi

kapera

/kapɛra/