Ufafanuzi wa kapolojia katika Kiswahili

kapolojia

nominoPlural kapolojia

  • 1

    tawi la elimu ya mimea linaloshughulikia matunda na mbegu.

Asili

Kng

Matamshi

kapolojia

/kapOlOʄija/