Ufafanuzi wa kapteni katika Kiswahili

kapteni

nominoPlural makapteni

 • 1

  ofisa wa jeshi kati ya luteni na meja.

 • 2

  kiongozi wa meli au ndege.

  nahodha

 • 3

  kiongozi wa timu za michezo k.v. mpira au riadha.

  nahodha

Asili

Kng

Matamshi

kapteni

/kaptɛni/