Ufafanuzi msingi wa kaputi katika Kiswahili

: kaputi1kaputi2kaputi3

kaputi1

nomino

  • 1

    ndoto za mchana.

Matamshi

kaputi

/kaputi/

Ufafanuzi msingi wa kaputi katika Kiswahili

: kaputi1kaputi2kaputi3

kaputi2 , kabuti

nomino

  • 1

    koti zito la kuzuia baridi au mvua isirowanishe nguo zilizovaliwa ndani yake.

Matamshi

kaputi

/kaputi/

Ufafanuzi msingi wa kaputi katika Kiswahili

: kaputi1kaputi2kaputi3

kaputi3

nomino

Matamshi

kaputi

/kaputi/