Ufafanuzi wa karabati katika Kiswahili

karabati

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tengeneza upya kitu kilichoharibika ili kirudie hali yake ya mwanzo.

    ‘Karabati nyumba’

Matamshi

karabati

/karabati/