Ufafanuzi wa karafuumaiti katika Kiswahili

karafuumaiti

nominoPlural karafuumaiti

  • 1

    dawa inayotumiwa katika kutayarisha maiti ili azikwe.

    kafuri

Asili

Kar

Matamshi

karafuumaiti

/karafu:majiti/