Ufafanuzi wa karai katika Kiswahili

karai

nominoPlural makarai

  • 1

    chombo cha chuma kinachotumiwa kukaangia vitu.

  • 2

    chombo cha chuma kinachotumika k.v. kufulia nguo, kuoshea vyombo au kubebea mchanga.

Matamshi

karai

/karaji/