Ufafanuzi wa karakana katika Kiswahili

karakana, karakhana

nomino

  • 1

    mahali palipo na mitambo ya kutengenezea vitu.

Asili

Kaj / Khi

Matamshi

karakana

/karakana/