Ufafanuzi wa karama katika Kiswahili

karama

nomino

  • 1

    kipawa anachokuwa nacho mtu kwa sababu ya kumwabudu sana Mungu, agh. humpa uwezo wa kuomba haja kwa Mwenyezi Mungu na kukubaliwa mara moja.

  • 2

    ikibali ya kupokelewa haja inayoombwa.

    buruhani

Asili

Kar

Matamshi

karama

/karama/