Ufafanuzi wa karamu katika Kiswahili

karamu

nominoPlural karamu

  • 1

    vyakula na vinywaji vinavyoandaliwa kwa ajili ya watu wengi kwa shughuli maalumu.

  • 2

    sherehe inayoandaliwa vyakula na vinywaji kwa shughuli maalumu.

Asili

Kar

Matamshi

karamu

/karamu/