Ufafanuzi wa karanga katika Kiswahili

karanga

nominoPlural karanga

  • 1

    mmea unaozaa maua ambayo hujifukia ardhini na kutoa mbegu zinazotumiwa kutengeneza mafuta.

  • 2

    mbegu za mmea huo ambazo agh. hukaangwa na kuliwa.

    njugu

Matamshi

karanga

/karanga/