Ufafanuzi wa karani katika Kiswahili

karani

nominoPlural makarani

  • 1

    mtumishi anayefanya kazi ya kuandika au kutaipu barua, kufaili na kupanga majalada, n.k. katika ofisi.

    ‘Karani mkuu’

Asili

Kaj

Matamshi

karani

/karani/