Ufafanuzi wa karantini katika Kiswahili

karantini

nominoPlural karantini

  • 1

    uzuiaji wa watu, mifugo au mimea isitolewe kutoka eneo moja hadi jingine ili kuzuia uenezaji wa magonjwa ya kuambukiza.

Asili

Kng

Matamshi

karantini

/karantini/