Ufafanuzi wa karatasi katika Kiswahili

karatasi

nominoPlural karatasi

  • 1

    kitu kilichotengenezwa kutokana na nyuzinyuzi za miti au nguo mbovu ambacho hutumiwa kuandikia au kutaipu juu yake, kufungia vitu, kuchapia vitabu, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

karatasi

/karatasi/