Ufafanuzi msingi wa karia katika Kiswahili

: karia1karia2

karia1 , keria

nomino

  • 1

    kiti cha pili cha baiskeli kilicho juu ya gurudumu la nyuma cha kubebea mtu wa pili au mizigo.

  • 2

    sehemu ya juu ya gari ya kuwekea mizigo.

Asili

Kng

Matamshi

karia

/karija/

Ufafanuzi msingi wa karia katika Kiswahili

: karia1karia2

karia2

nomino

kishairi

Asili

Kar

Matamshi

karia

/karija/