Ufafanuzi wa karibisha katika Kiswahili

karibisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    pokea mtu mahali pa shughuli au nyumbani na kumtuliza.

    pokea

  • 2

    alika mtu mahali fulani au kwenye shughuli fulani.

    kirimu, alika

Asili

Kar

Matamshi

karibisha

/karibiʃa/