Ufafanuzi wa karibu katika Kiswahili

karibu

kielezi

 • 1

  -sio mbali kwa wakati au mahali; -liokaribia.

 • 2

  nusura

 • 3

  kiasi cha kukadiria.

  takribani

Asili

Kar

Matamshi

karibu

/karibu/