Ufafanuzi wa Karima katika Kiswahili

Karima, Karimu

nominoPlural Karima

  • 1

    jina la kumsifu Mungu ambalo huashiria ukarimu wake kama wanavyoamini Waislamu.

    ‘Tunamwomba Karima atuondolee balaa hii’

  • 2

Asili

Kar

Matamshi

Karima

/karima/