Ufafanuzi wa karina katika Kiswahili

karina

nominoPlural karina

  • 1

    neno au maneno yanayotumiwa kuelezea wazo fulani kwa maneno yenye maana tofauti na maana yake ya asili k.m. Alikuja akatoa lulu alikuja akasema maneno mazuri ya maana na ya hekima.

Matamshi

karina

/karina/