Ufafanuzi wa karipia katika Kiswahili

karipia

kitenzi elekezi

  • 1

    toa au tolea maneno kwa ukali; sema kwa ukali.

    kemea, koromea

Matamshi

karipia

/karipija/