Ufafanuzi wa kariri katika Kiswahili

kariri

kitenzi elekezi

  • 1

    sema maneno yaleyale kimoyomoyo au kwa sauti au fanya vitendo vilevile mara kwa mara.

    rudia, kokoteza

Matamshi

kariri

/kariri/