Ufafanuzi msingi wa karo katika Kiswahili

: karo1karo2

karo1

nominoPlural karo

 • 1

  hongo atoayo mwanafunzi kumpa mkurufunzi wake ili amwandikie ubao wake na amsomeshe vizuri; zawadi ya kitu chochote katika vyakula apewavyo mkurufunzi na mwanafunzi wake.

 • 2

  ada ya shule inayotolewa na mwanafunzi.

Asili

Kar

Matamshi

karo

/karO/

Ufafanuzi msingi wa karo katika Kiswahili

: karo1karo2

karo2

nominoPlural karo

 • 1

  mahali palipojengwa makusudi kwa ajili ya kuoshea vyombo.

 • 2

  mahali pa kuhifadhia maji taka.

Matamshi

karo

/karO/