Ufafanuzi msingi wa karua katika Kiswahili

: karua1karua2

karua1 , kalua

nominoPlural makarua

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    baharia wa vyombo vya bahari vilivyotoka Bara Hindi.

    kalasi

Asili

Khi

Matamshi

karua

/karuwa/

Ufafanuzi msingi wa karua katika Kiswahili

: karua1karua2

karua2

nominoPlural makarua

  • 1

    jamii fulani ya Wahindi wanaofinyanga na kuuza vyungu na mitungi.

Asili

Khi

Matamshi

karua

/karuwa/