Ufafanuzi msingi wa kasabu katika Kiswahili

: kasabu1kasabu2

kasabu1

nominoPlural kasabu

  • 1

    aina ya mapambo yanayofanana na zari, hutumika kurembesha nguo.

  • 2

    nguo za rangi ya dhahabu.

Matamshi

kasabu

/kasabu/

Ufafanuzi msingi wa kasabu katika Kiswahili

: kasabu1kasabu2

kasabu2

nominoPlural kasabu

  • 1

    mti unaowekwa kama alama ya kufikia washindanaji katika mbio ili kuonyesha aliyefika mbele.

Asili

Kar

Matamshi

kasabu

/kasabu/