Ufafanuzi wa kashata katika Kiswahili

kashata

nominoPlural kashata

  • 1

    kitu cha kuliwa chenye umbo la msambamba, kinachotengenezwa kwa chicha, njugu, lozi au ufuta na kuchanganywa na sukari au sukari guru.

    mraba

Matamshi

kashata

/kaʃata/