Ufafanuzi wa kashida katika Kiswahili

kashida

nominoPlural kashida

  • 1

    kitambaa kizito cha sufu cha kuvaa mabegani, agh. huvaliwa na mashehe au walimu wa Uislamu au watu wa makamo.

    shali

Asili

Kar

Matamshi

kashida

/kaʃida/