Ufafanuzi wa kashifu katika Kiswahili

kashifu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    toa nje siri ya jambo la aibu.

    nyambua

  • 2

    jua au fahamu jambo la siri la moyoni mwa mtu mwingine kabla mwenyewe hajalieleza; funua jambo lisilojulikana kwa buruhani maalumu.

Asili

Kar

Matamshi

kashifu

/kaʃifu/