Ufafanuzi msingi wa kasi katika Kiswahili

: kasi1kasi2

kasi1

kielezi

 • 1

  mbio sana; upesi sana; kwa haraka mno.

  ‘Kwenda kasi’
  ‘Gari lilipita kasi’
  spidi

 • 2

  bidii, jitihada, juhudi, hima, idili, fosi

Asili

Kar

Matamshi

kasi

/kasi/

Ufafanuzi msingi wa kasi katika Kiswahili

: kasi1kasi2

kasi2

nominoPlural kasi

 • 1

Asili

Kar

Matamshi

kasi

/kasi/