Ufafanuzi wa kasida katika Kiswahili

kasida

nomino

  • 1

    tungo maalumu za kumsifu Mtume Muhammad (s.a.w.) zinazoimbwa katika Maulidi.

  • 2

    tungo za kumsifu mtu au jambo.

Asili

Kar

Matamshi

kasida

/kasida/